FAQ   |   Webmail
  • All children have equal rights
  • All children should be encouraged to fulfill their potential
  • Everybody has a responsibility to support the care and protection of children.
  • The child's views should be taken into account where major decisions are to be made about his or her future
  • Organizations working with children have a duty to care for children
Recent News
Events Calendar
Photo Gallery

TDH-MWANZA
KIWOHEDE ni shirika lisilo la kiserikali linalotekeleza miradi yake kwa mbele juhudi zake za kuzuia biashara haramu ya usafirishaji wa binadam, dhuluma, unyanyasaji na unyonyaji ikiwa ni pamoja na shughuli ambazo zinalenga kutetea haki za watoto, uokoaji, na uwezeshaji kiuchumi kwa watoto ikiwa ni pamoja na utoaji wa stadi za maisha, mafunzo msaada wa kisheria, ushauri nasaha, huduma za matibabu, na kuwaunganisha na familia zao. MAELEZO YA SHUGHULI Utoaji wa huduma za elimu kwa watoto walio katika hatari na wahanga wa usafirishwaji unalenga kusaidia watoto waliobainiwa na kuokolewa kutoka katika usafirishwaji haramu na watoto kutoka katika familia zenye historia ya usafirishaji wa watoto. Kiwohede imekuwa ikisaidia watoto hawa kwa kuwaunganisha katika shule za msingi, sekondari na mafunzo ya ufundi kulingana na umri na sifa nyingine. Vyuo vya mafunzo ya ufundi ambavyo viko katika mkataba na shirika la KIWOHEDE na ambavyo watoto wamekuwa wakipelekwa ni pamoja na chuo cha mafunzo ya ufundi Buhongwa, chuo cha mafunzo ya ufundi St. Joseph, chuo cha mafunzo ya ufundi Nyakato, SIDO na Dar-es-salaam Chuo cha teknolojia (DIT) Mwanza pamoja na chuocha maendeleo ya jamii Sengerema (FDC). VIGEZO VYA UTEUZI  Mtoto lazima awe ameokolewa/ muhanga wa usafirishwaji haramu.  lazima awe katika katika hatari ya kusafirishwa  lazima awe na uwezo wa kusoma na kuandika MALENGO MAALUM. • Kutoa mafunzo ya ufundi stadi, elimu msingi na sekondari kwa watoto waathirika wa usafirishwaji haramu kama juhudi za kuwawezesha kiuchumi na kuwaepusha na kusafirishwa tena • Kuzuia ushiriki wa watoto katika kazi za hatari kama vile ukahaba, ajira za utotoni ambazo zinajumuisha kazi za ndani, Uvuvi, madini kwa kuwa na maarifa na ujuzi ambao utarahisisha uwezo wa kujiajiri. • Kuwawezesha watoto kiuchumi • Kutoa stadi za kujiajiri kwa watoto
[ View Pictures..... ]

KIWOHEDE HEAD QUARTER (HQ)
KIWOHEDE: Description Kiota Women Health and Development (KIWOHEDE) is an advocacy and action oriented organization registered in Tanzania in 1999 with the aim of supporting socioeconomic empowerment of children, women and youth, particularly against the worst forms of abuse, including gender violence and exploitation. Over a decade, KIWOHEDE has served a large number of young women, children and youth communities. The organization serves approximately 5,000 youth and young women annually from 21 districts in seven regions of Tanzania main land. The organization works mainly with various Tanzania ministries like Ministry of Education, Science and Technology, Ministry of Health, Community Development, Gender, Elderly and Children, Ministry of Information, Culture, Art and Sports, Ministry of Home Affairs, Ministry of Constitution and Legal Affairs. KIWOHEDE have support from different development partners including UNFPA, AMREF, SAVE THE CHILDREN, COL , JhPiego, ECPAT, Teres de Homes . Networks are Tanzania Child Right Forum (TCRF), ECPAT, GAAWT, and KIWOHEDE networks with other local CSOs on the ground by addressing and advocating for boys and girls, young women and men needs and rights, including their education, health and rights. In addition, KIWOHEDE has been delivering youth development and leadership programmes by empowering and mentoring youth for education, skills development and sexual education. The organization understands that young women and men are key change agents in Tanzania as the rest of the world, hence mobilizing and empowering young people to be able to make informed decisions about their lives is very crucial.
[ View Pictures..... ]

KIOTA UK
[ View Pictures..... ]

COL (Girls Inspire)
ABOUT GIRLS Inspire GIRLS Inspire is a project sponsored by Commonwealth of Learning (COL), funded by the Government of Canada through the Global Affairs Canada office and the Department of Foreign Affairs and Trade (DFAT) Australia, with the aim to end the cycle of child, early and forced marriage and to address the barriers that prevent women and girls’ economic participation. The project focuses on Bangladesh, India, Pakistan, Mozambique and Tanzania. KIWOHEDE: Description Kiota Women Health and Development (KIWOHEDE) is an advocacy and action oriented organization registered in Tanzania in 1999 with the aim of supporting socioeconomic empowerment of children, women and youth, particularly against the worst forms of abuse, including gender violence and exploitation. Over a decade, KIWOHEDE has served a large number of young women, children and youth communities. The organization serves approximately 5,000 youth and young women annually from 21 districts in seven regions of Tanzania main land. The organization works mainly with various Tanzania ministries like Ministry of Education, Science and Technology, Ministry of Health, Community Development, Gender, Elderly and Children, Ministry of Information, Culture, Art and Sports, Ministry of Home Affairs, Ministry of Constitution and Legal Affairs. KIWOHEDE have support from different development partners including UNFPA, AMREF, SAVE THE CHILDREN, COL , JhPiego, ECPAT, Teres de Homes . Networks are Tanzania Child Right Forum (TCRF), ECPAT, GAAWT, and KIWOHEDE networks with other local CSOs on the ground by addressing and advocating for boys and girls, young women and men needs and rights, including their education, health and rights. In addition, KIWOHEDE has been delivering youth development and leadership programmes by empowering and mentoring youth for education, skills development and sexual education. The organization understands that young women and men are key change agents in Tanzania as the rest of the world, hence mobilizing and empowering young people to be able to make informed decisions about their lives is very crucial.
[ View Pictures..... ]

SAVE THE CHILDREN -ASRHR
KIWOHEDE - Kiota Women’s Health and Development Organization ni shirika lisilokuwa la kiserikali, lililoanzishwa mwaka 1998 na kusajiriwa mwaka 1999. Makao makuu yake ni Dar es Salaam, Buguruni Malapa, wilaya ya Ilala. Na lina matawi Mbeya, Shinyanga, Mwanza, Simiyu, Mtwara, Ruvuma na Iringa pia linafanya kazi kwenye wilaya 23 nchi nzima. Lengo kuu la shirika Lengo kuu katika Shirika la KIWOHEDE ni kutetea na kulinda afya, haki na maendeleo ya mama na mtoto pamoja kupinga unyanyasaji wa kijinsia na kuwatambua, kuwaondoa na kuwaunganisha watoto walioko katika mazingira magumu na familia zao. Maono ya shirika:  Kuwa na jamii ambapo watoto, vijana na wanawake wapo huru kutoka kwenye aina zote za ukatili na unyanyasaji wa kingono na wanapata nafasi ya sauti zao kusikika katika jamii.  Walengwa wetu wakuu ni wasichana walioko katika mazingira magumu wenye umri wa miaka 9 hadi 18. Malengo ya Mradi:  Kuhamasisha haki za afya ya uzazi kwa watoto, rika balehe na vijana kupitia utoaji elimu ya afya ya uzazi kwa kuzingatia jinsia zote.  Kuongeza upatikanaji wa huduma za kliniki na zisizo za kliniki za afya ya uzazi na haki kwa watoto,rika balehe na vijana.  Kuchangia kutengeneza mazingira ya uhamasishaji na utekelezaji wa sheria na sera mbalimbali zinahamasisha haki ya afya ya uzazi na haki kwa watoto,rika balehe na vijana.
[ View Pictures..... ]

UNFPA-ASRH-SHINY,SIMIYU& MWNZ
[ View Pictures..... ]

We WORLD
[ View Pictures..... ]

SAUTI PROJECT KYELA
Sauti Project, As of 2017, KIWOHEDE as sub-grantee to USAID funded project called Sauti, entered into second fiscal year through USAID grantee (Jhpiego) to implement Sauti Project by implanting Biomedical , Structural and BCC interventions in fourteen wards in Kyela District Council . The Sauti is the Project, awarded by USAID to Jhpiego and partners EngenderHealth, Pact and the National Institute for Medical Research (NIMR) Mwanza on 9 February 2015, seeks to contribute to the improved health status of all Tanzanians through a sustained reduction in new HIV infections in support of the United Republic of Tanzania’s (URT) commitment to HIV prevention. The program utilizes new, and/or enhances existing, vulnerability-tailored, high-quality combination HIV prevention; positive health, dignity and prevention (PHDP); and family planning (FP) services for key and vulnerable populations (KVP). Partners: Jhpiego (lead agency) with EngenderHealth, Pact and the National Institute for Medical Research – Mwanza & KIWOHEDE as implementing CSO partner in Kyela Geographic location: Working with 14 wards in Kyela DC mainly; Kyela,Mwaya,Ipinda, Makwale, Matema, Ikolo, Njisi, Busale, Ngonga, Bujonde ,Katumbasongwe , Kajunjumele ,Ikimba & Ngana By:Anthon L.Mwangake Sauti project Manager KIWOHEDE ©2017
[ View Pictures..... ]

CSEC- Mtwara
[ View Pictures..... ]

EIDRH-PROJECT
[ View Pictures..... ]

WEKEZA
[ View Pictures..... ]

Design and Programming By : YouFly Co Limited Copyright © 2020 . KIWOHEDE. All Right Reserve.