FAQ   |   Webmail
  • All children have equal rights
  • All children should be encouraged to fulfill their potential
  • Everybody has a responsibility to support the care and protection of children.
  • The child's views should be taken into account where major decisions are to be made about his or her future
  • Organizations working with children have a duty to care for children
Recent News
Events Calendar

Print
MKUTANO WA KUWAJENGEA UWEZO MAAFISA USTAWI WA JAMII DAR ES SALAAM

Tumehitimisha mkutano hii leo wa Kuwajengea uwezo Maafisa Ustawi wa Jamii Mkoa Dar es salam KIWOHEDE na Weworld Onlus tumepata nafasi ya kuthat washirikisha washiriki wote wa Mkutano huu, Jinsi tunavyotekeleza Mpango wa Taifa wa Kupinga Ukatili dhidi ya Mwanamke na watoto (MTAKUWWA) kupitia Miradi mbalimbali inayoendelea nchini na shughuli zinazofanyika katika vituo vyetu vya kusaidia watoto na Vijana hasa wa kike wanaoishi Katika Mazingira magumu.

Mkutano huu uliza jana tarehe 16 na 17 septemba 2020 katika Ukumbi wa karimjee Ujiji Dar es salam. Copyright © 2020 KIWOHEDE. All Rights Reserved.