Novemba 25/11/2020 ni kilele cha Kampeni ya SIKU 16 Kupinga #UkatiliWakijinsia . KAULI MBIU "Tupinge #UkatiliWakijinsia Mabadiliko yanaanza na Mimi"
#InaanzaNaMimi
KIWOHESE kwa kushirikiana na Terre Des Homesnl tumeshiriki katika Uzinduzi wa Kampeni ya SIKU 16 za Kupinga Ukatili Wakijinsia (dhidi ya Wanawake na Watoto).
Katika Picha ni Maandamano yaliyoanzia Grand hall na kuishia viwanja vya Furahisha.